Ukulima wenye Furaha!. Utumizi wa Teknologia Kwa kilimo

4/27/20251 min read

Mama Wanjiru kutoka kijiji cha Kigoro, Gatanga amepokea malipo yake ya maziwa moja kwa moja kwa simu yake huku akiwa nje ya banda lake la ng’ombe.

Hakuna foleni. Hakuna kuchelewa. Malipo papo hapo, amani ya moyo.

Huu ndio ufugaji wa kisasa kwa mkulima wa leo – kazi kwa bidii ikikutana na teknolojia!

Asante kwa kuamini Kigoro Dairy, Mama Wanjiru!
#KigoroDairy #MalipoKwaSimu #MkulimaBora #UfugajiWaKisasa #MamaShujaa